Rais Dkt.Mwinyi amepokea salamu za Pole kutoka kwa WASAFI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salama za pole kutoka kwa kampuni ya WASAFI inayoongozwa na Mkurugenzi mkuu, Nasib Abdul (Dimond Platinum) Dk. Mwinyi alipokea Salamu hizo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na kiongozi huyo na ujumbe aliofuatana nao. Rais Dk. Mwinyi aliushukuru uongozi wa Wasafi uliofika kwa lengo la